Ufafanuzi msingi wa kaimu katika Kiswahili

: kaimu1kaimu2kaimu3

kaimu1

nominoPlural makaimu

 • 1

  mtu anayeshikilia cheo au wadhifa fulani kwa muda.

  ‘Kaimu mkurugenzi’

Asili

Kar

Matamshi

kaimu

/kaImu/

Ufafanuzi msingi wa kaimu katika Kiswahili

: kaimu1kaimu2kaimu3

kaimu2

nominoPlural makaimu

 • 1

  mganga apungaye pepo.

Matamshi

kaimu

/kaImu/

Ufafanuzi msingi wa kaimu katika Kiswahili

: kaimu1kaimu2kaimu3

kaimu3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  shikilia cheo au wadhifa fulani kwa muda.

Asili

Kar

Matamshi

kaimu

/kaImu/