Ufafanuzi wa kakakaka katika Kiswahili

kakakaka

kielezi

  • 1

    kwa vishindo; kwa haraka.

    ‘Mapigano yalikwenda kakakaka’

Matamshi

kakakaka

/kakakaka/