Ufafanuzi wa kakamaa katika Kiswahili

kakamaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kaza kwa misuli ya mwili au kitu.

  • 2

    kauka na kuwa ngumu.

Matamshi

kakamaa

/kakama:/