Ufafanuzi wa kakasi katika Kiswahili

kakasi

kivumishi

  • 1

    -enye ukakasi.

    ‘Ndizi hizi ni kakasi mno’
    kali, chungu

Matamshi

kakasi

/kakasi/