Ufafanuzi wa kakindu katika Kiswahili

kakindu

nomino

  • 1

    aina ya mmea wenye maua meupe.

Matamshi

kakindu

/kakindu/