Ufafanuzi wa kalakonje katika Kiswahili

kalakonje, kala

nomino

  • 1

    mnyama mwenye umbo kama paka mkubwa au ndezi, hupenda sana kula vifaranga wa kuku.

    konje, paka njuzi, shume