Ufafanuzi wa kalasia katika Kiswahili

kalasia, karasia

nominoPlural makalasia

  • 1

    chombo kidogo cha shaba chenye umbo la duara, huwa kipana chini na finyu kwenye mdomo k.v. mtungi mdogo.

  • 2

    gudulia dogo la shaba bila ya kishikio.

Asili

Khi

Matamshi

kalasia

/kalasija/