Ufafanuzi wa kale katika Kiswahili

kale

nomino

 • 1

  zama zilizopita; siku nyingi zilizopita.

  ‘Hapo kale’
  zamani, dahari

 • 2

  maelezo ya siku za maisha ya mtu yaliyopita.

  ‘Hebu nipe kale yako’
  ‘Kale ya Wapemba’
  historia, salua