Ufafanuzi msingi wa kalibu katika Kiswahili

: kalibu1kalibu2

kalibu1

nominoPlural kalibu

 • 1

  chombo cha kuyeyushia madini kama risasi, n.k..

  subu

 • 2

  chombo chenye umbo maalumu kinachotiliwa madini yaliyoyeyushwa ili yafuate umbo lake.

  ‘Kalibu ya kusubia marisau’

 • 3

  tanuri la saruji.

Asili

Kng

Matamshi

kalibu

/kalibu/

Ufafanuzi msingi wa kalibu katika Kiswahili

: kalibu1kalibu2

kalibu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  mimina kitu k.v. risasi katika chombo ili kupata umbo linalotakiwa.

  subu

Asili

Kar

Matamshi

kalibu

/kalibu/