Ufafanuzi wa kalifu katika Kiswahili

kalifu

kitenzi elekezi

  • 1

    sumbua au taabisha mtu.

    lazimisha

Asili

Kar

Matamshi

kalifu

/kalifu/