Ufafanuzi msingi wa kalisi katika Kiswahili

: kalisi1kalisi2kalisi3

kalisi1

nominoPlural kalisi

Kidini
 • 1

  Kidini
  kikombe kinachotumiwa kanisani kuwekea mvinyo wakati wa ibada ya misa.

Asili

Kng

Matamshi

kalisi

/kalisi/

Ufafanuzi msingi wa kalisi katika Kiswahili

: kalisi1kalisi2kalisi3

kalisi2

nominoPlural kalisi

 • 1

  metali inayolipuka ikiwekwa nje ya maji.

Asili

Kng

Matamshi

kalisi

/kalisi/

Ufafanuzi msingi wa kalisi katika Kiswahili

: kalisi1kalisi2kalisi3

kalisi3 , kalisiamu

nominoPlural kalisi

 • 1

  elementi nyeupe ya kemikali ambayo inapatikana katika baadhi ya miamba na ni mashuhuri kwa kuimarisha meno na mifupa.

 • 2

  (hutokea kwenye mifupa, meno na sehemu ya chokaa, marumaru, n.k.) metali laini nyeupe.

Asili

Kng

Matamshi

kalisi

/kalisi/