Ufafanuzi wa Kama kupe na mkia wa ng’ombe katika Kiswahili

Kama kupe na mkia wa ng’ombe

msemo

  • 1

    vitu vinavyoambatana bila ya kuachana.