Ufafanuzi wa kama kwamba katika Kiswahili

kama kwamba

msemo

  • 1

    mithili ya; mfano wa; kana kwamba.

    ikiwa, maadamu, endapo, iwapo, pindi, laiti