Ufafanuzi msingi wa kamambe katika Kiswahili

: kamambe1kamambe2

kamambe1

nomino

  • 1

    mtu mwenye nguvu za mwili na ambaye agh. ni shujaa.

Matamshi

kamambe

/kamambÉ›/

Ufafanuzi msingi wa kamambe katika Kiswahili

: kamambe1kamambe2

kamambe2

kivumishi

  • 1

    kubwa kwa umbo au shughuli zinazofanyika k.v. nyumba au mradi.

    ‘Ujenzi wa mradi kamambe wa umeme umeanza’

Matamshi

kamambe

/kamambÉ›/