Ufafanuzi wa kamandoo katika Kiswahili

kamandoo

nomino

  • 1

    askari mwenye ujuzi na mbinu maalumu za ulinzi na mapambano ya kivita.

Matamshi

kamandoo

/kamandÉ”:/