Ufafanuzi wa kamasi katika Kiswahili

kamasi, makamasi

nominoPlural kamasi

  • 1

    giligili au majimaji yanayotoka puani wakati mtu anaposhikwa na baridi au ugonjwa k.v. mafua, anapolia au anapoingiwa na vumbi.

    ‘Futa kamasi’
    ‘Penga kamasi’
    bombo, gole

Matamshi

kamasi

/kamasi/