Ufafanuzi wa kamati katika Kiswahili

kamati

nominoPlural kamati

  • 1

    kikundi cha watu waliochaguliwa kutokana na kundi kubwa zaidi ili kushughulikia kazi fulani.

Matamshi

kamati

/kamati/