Ufafanuzi wa kambakoche katika Kiswahili

kambakoche

nominoPlural kambakoche

  • 1

    kamba wa rangi ya buluu na nyeusi, mwenye miguu minane, kucha mbili na papasi mbili ndefu sana zilizopindia au kuelekea nyuma.

    kambamti

Matamshi

kambakoche

/kambakOt∫ɛ/