Ufafanuzi wa kambare katika Kiswahili

kambare

nomino

  • 1

    samaki wa mtoni au ziwani mwenye masharubu na kichwa bapa.

Matamshi

kambare

/kambarÉ›/