Ufafanuzi wa kame katika Kiswahili

kame

kivumishi

  • 1

    -enye ukavu; -siokuwa na maji ya kuotesha kitu.

Matamshi

kame

/kamɛ/