Ufafanuzi wa kamia katika Kiswahili

kamia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    kuwa na hamu kubwa ya kutenda jambo; kusudia kwa hamu kutenda jambo.

    kakamia, pania

  • 2

    fuata mtu ili kulipiza kisasi.

Matamshi

kamia

/kamija/