Ufafanuzi wa kamisaa katika Kiswahili

kamisaa

nominoPlural kamisaa

  • 1

    ofisa anayewakilisha chama katika taasisi au shughuli fulani k.v. mchezo wa mpira.

    ‘El-Maamry alikuwa kamisaa katika mchezo kati ya Zamalek na El-Hillal’

Asili

Kng

Matamshi

kamisaa

/kamisa:/