Ufafanuzi wa kamishna katika Kiswahili

kamishna

nomino

  • 1

    ofisa mwandamizi wa polisi au idara ya serikali.

    ‘Kamishna wa polisi’
    ‘Kamishna wa elimu’

  • 2

    mjumbe katika tume iliyoagizwa kufanya kazi fulani.

Asili

Kng

Matamshi

kamishna

/kami Éna/