Ufafanuzi wa kamisi katika Kiswahili

kamisi

nominoPlural kamisi

  • 1

    vazi refu la ndani linalovaliwa na wanawake.

    shimizi

Asili

Kng

Matamshi

kamisi

/kamisi/