Ufafanuzi wa kandarasi katika Kiswahili

kandarasi

nominoPlural kandarasi

  • 1

    kazi inayofanywa kwa muda maalumu na kwa malipo yaliyokubaliwa na pande zote mbili.

  • 2

    mkataba wa kufanya kazi fulani.

Matamshi

kandarasi

/kandarasi/