Ufafanuzi wa kande katika Kiswahili

kande

nominoPlural kande

  • 1

    chakula kilichopikwa kwa mchanganyiko wa mahindi, maharage au kunde.

    pure, githeri

Matamshi

kande

/kandɛ/