Ufafanuzi wa kandili katika Kiswahili

kandili

nominoPlural kandili

  • 1

    taa yenye chemni inayowaka kwa utambi na mafuta, agh. ya taa.

  • 2

    taa ya chemni.

    fanusi

Asili

Kar

Matamshi

kandili

/kandili/