Ufafanuzi msingi wa kandirinya katika Kiswahili

: kandirinya1kandirinya2

kandirinya1

nominoPlural makandirinya, Plural kandirinya

  • 1

    birika la kuchemshia maji au chai.

  • 2

    aina ya birika lililotengenezwa kwa fedha au shaba na ambalo hutumiwa kunawia mikono kabla na baada ya kula.

Matamshi

kandirinya

/kandiri3a/

Ufafanuzi msingi wa kandirinya katika Kiswahili

: kandirinya1kandirinya2

kandirinya2

nominoPlural makandirinya, Plural kandirinya

  • 1

    aina ya muhogo mchungu sana ambao hutumiwa kufanya makopa.

Matamshi

kandirinya

/kandiri3a/