Ufafanuzi msingi wa kando katika Kiswahili

: kando1kando2

kando1

kihusishi

 • 1

  mahali palipo jirani na mahali pengine.

  ‘Waliegesha gari lao kando ya mto’

Ufafanuzi msingi wa kando katika Kiswahili

: kando1kando2

kando2

kielezi

 • 1

  ‘Kando ya bahari’
  ‘Simama kando’
  methali ‘Aliye kando haangukiwi na mti’

Matamshi

kando

/kandÉ”/