Ufafanuzi msingi wa kanga katika Kiswahili

: kanga1kanga2

kanga1

nominoPlural kanga

  • 1

    ndege wa jamii ya kuku anayeishi porini, mwenye rangi ya kijivu iliyokoza na madoadoa meupe.

Matamshi

kanga

/kanga/

Ufafanuzi msingi wa kanga katika Kiswahili

: kanga1kanga2

kanga2

nominoPlural kanga

  • 1

    nguo nyepesi yenye nakshi na maandishi inayovaliwa na wanawake.

    leso

Matamshi

kanga

/kanga/