Ufafanuzi msingi wa kangaja katika Kiswahili

: kangaja1kangaja2kangaja3

kangaja1

nominoPlural kangaja, Plural makangaja

 • 1

  chenza dogo.

Ufafanuzi msingi wa kangaja katika Kiswahili

: kangaja1kangaja2kangaja3

kangaja2

nominoPlural kangaja, Plural makangaja

 • 1

  aina mojawapo ya samaki mwenye vumba kali.

Ufafanuzi msingi wa kangaja katika Kiswahili

: kangaja1kangaja2kangaja3

kangaja3

nominoPlural kangaja, Plural makangaja

 • 1

  aina mojawapo ya nyasi.

  methali ‘Mambo kangaja huenda yakaja’

Matamshi

kangaja

/kangaŹ„a/