Ufafanuzi wa kanganya katika Kiswahili

kanganya

kitenzi elekezi

  • 1

    changanya mawazo ya mtu.

    tatanisha, babaisha

Matamshi

kanganya

/kanga3a/