Ufafanuzi wa kangaruu katika Kiswahili

kangaruu

nominoPlural kangaruu

  • 1

    mnyamapori wa asili ya Australia mwenye miguu mifupi ya mbele, mfuko wa kubebea watoto, na mkia mrefu.

Asili

Kng

Matamshi

kangaruu

/kangaru:/