Ufafanuzi wa kangu katika Kiswahili

kangu

nomino

  • 1

    aina ya samaki wa jamii ya pono mwenye nyama iliyopooza na mamba makubwa.

Matamshi

kangu

/kangu/