Ufafanuzi wa kaniki katika Kiswahili

kaniki

nominoPlural kaniki

  • 1

    aina ya kitambaa cheusi cha nguo ya pamba, agh. huvaliwa na wanawake badala ya kanga au vitenge wakati wa kazi, hasa za shamba.

Matamshi

kaniki

/kaniki/