Ufafanuzi msingi wa kanisa katika Kiswahili

: kanisa1kanisa2

kanisa1

nominoPlural makanisa

  • 1

    jengo linalotumiwa na Wakristo kufanyia ibada.

Asili

Kar

Matamshi

kanisa

/kanisa/

Ufafanuzi msingi wa kanisa katika Kiswahili

: kanisa1kanisa2

kanisa2

nominoPlural makanisa

  • 1

    jumuia ya Wakristo.

Asili

Kar

Matamshi

kanisa

/kanisa/