Ufafanuzi wa kanivali katika Kiswahili

kanivali

nominoPlural kanivali

  • 1

    sherehe ya mwaka ya watu wanaopiga muziki na kucheza dansi wakiwa katika maandamano barabarani, maarufu nchini Brazili.

Asili

Kng

Matamshi

kanivali

/kanivali/