Ufafanuzi msingi wa kanta katika Kiswahili

: kanta1kanta2

kanta1

nominoPlural kanta

  • 1

    dawa ya kurudisha weusi wa nywele, agh. mvi zionekane nyeusi.

Asili

Kng

Matamshi

kanta

/kanta/

Ufafanuzi msingi wa kanta katika Kiswahili

: kanta1kanta2

kanta2

nominoPlural kanta

  • 1

    aina ya gari la uwezo wa tani k.v. mbili hadi nne la kubebea mizigo.

Matamshi

kanta

/kanta/