Ufafanuzi wa kantini katika Kiswahili

kantini

nomino

  • 1

    mahali panapouzwa chakula na vinywaji k.v. kwenye kambi au shule.

Asili

Kng

Matamshi

kantini

/kantini/