Ufafanuzi wa kanusha katika Kiswahili

kanusha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    kataa sana.

    pinga, kana, kadhibisha, kataa

Asili

Kar

Matamshi

kanusha

/kanuʃa/