Ufafanuzi wa kanza katika Kiswahili

kanza

kitenzi elekezi

  • 1

    pasha kitu moto k.v. chakula, maji au ngoma.

  • 2

    fanya kitu kipate joto au uvuguvugu kwa kukiweka juu au karibu ya moto.

Matamshi

kanza

/kanza/