Ufafanuzi wa kanzu katika Kiswahili

kanzu

nominoPlural kanzu

 • 1

  vazi refu kama gauni linalovaliwa na wanaume, agh. huwa la rangi nyeupe au ya hudhurungi.

  ‘Kanzu ya mfuto’
  ‘Kanzu ya ziki’
  ‘Kanzu ya kazi’
  ‘Kanzu ya darizi’
  ‘Kanzu ya melimeli’

 • 2

  gauni

Asili

Kar

Matamshi

kanzu

/kanzu/