Ufafanuzi wa kapeli katika Kiswahili

kapeli

nominoPlural kapeli

  • 1

    sehemu ya kike ya ua.

Asili

Kng

Matamshi

kapeli

/kapɛli/