Ufafanuzi msingi wa kapi katika Kiswahili

: kapi1kapi2

kapi1

nominoPlural makapi

 • 1

  ganda la mbegu, agh. mpunga.

  ‘Kapi la mpunga’
  kumvi, kununu, pepe

Matamshi

kapi

/kapi/

Ufafanuzi msingi wa kapi katika Kiswahili

: kapi1kapi2

kapi2

nominoPlural makapi

 • 1

  kitu kama gurudumu dogo kilichofungwa nchani mwa mlingoti ili kupitishia kamba ya kutwekea matanga.

  roda

Matamshi

kapi

/kapi/