Ufafanuzi wa kapilari katika Kiswahili

kapilari

nomino

  • 1

    mishipa midogo ya damu inayoenea mwilini.

Asili

Kng

Matamshi

kapilari

/kapilari/