Ufafanuzi wa kapile katika Kiswahili

kapile

nominoPlural kapile

  • 1

    chakula chochote kilichopikwa na kinachouzwa sokoni.

  • 2

    viazi vinavyoliwa kwa njugu za kukaanga.

Matamshi

kapile

/kapilɛ/