Ufafanuzi wa kaptura katika Kiswahili

kaptura

nominoPlural kaptura

  • 1

    suruali fupi ambayo urefu wake huishia magotini.

    bombo

Matamshi

kaptura

/kaptura/