Definition of karabai in Swahili

karabai

noun

  • 1

    taa yenye utambi wa kimia na inayotumia mafuta ya taa na hutiwa upepo.

  • 2

    taa ya gesi inayotumiwa katika migodi.

Origin

Kar

Pronunciation

karabai

/karabaji/