Ufafanuzi wa karadha katika Kiswahili

karadha

nomino

  • 1

    fedha zilizokopwa au kukopeshwa bila ya riba.

    mkopo

Asili

Kar

Matamshi

karadha

/karaĆ°a/