Ufafanuzi msingi wa karagosi katika Kiswahili

: karagosi1karagosi2

karagosi1

nomino

  • 1

    mwanasesere anayening’inizwa kwenye uzi ambao ukivutwa mtoto huyo hucheza ili kuchekesha watazamaji.

Matamshi

karagosi

/karagOsi/

Ufafanuzi msingi wa karagosi katika Kiswahili

: karagosi1karagosi2

karagosi2

nomino

Matamshi

karagosi

/karagOsi/